Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Umeweza kukalili kucha zake, rangi ya ngozi, kutotoboa masikio nk ila ukashindwa kukariri rangi ya gauni alilovaa! We Hauna tofauti na wale jamaa wa Tanga waliomuona Nyerere kwenye mwembe
 
Wanawake nadhani mmepata somo hapa, hayo mawigi na makucha hakuna anaye yataka
 
Kwa mtindo huu hili jukwaa inabd lifutwe maana litakuwa kimbilio la matimbulo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mkuu naomba kukuuliza
Hivi kuna utofauti kati ya udomo zege na mtu kuwa na tabia ya aibu??
Maana huwa sielewi ati
 
Hivi mkuu naomba kukuuliza
Hivi kuna utofauti kati ya udomo zege na mtu kuwa na tabia ya aibu??
Maana huwa sielewi ati
Tofauti ipo , mwenye aibu hufunguka japo kwa kusita lakini domo zege hafungukagi kabisa
 
sio vyote ving,aavyo ni dhahabu ,
 
Dah...mke wa mtu ni Sumu....sennnnnz
 
Sawa,kama yuko humu JF ata respond,ila uwe na mpango wa kumuoa kama hujaoa,isijekuwa ni tamaa zako tu za kimwili,maana hiyo ni Ubungo to city center umeona umepagawa,hujaenda pande za Chang'ombe,hujaenda pande za Mwenge,hujaenda pande za Kigamboni,hujakatiza kwenye vyuo hapo katikati ya mji.Tuliza akili na Mshirikishe Mungu ili akusaidie upate mke mwema...
 
Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.

dah angalau ww umesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…