Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

poa kiongozi.. una kumbukumbu saana.
Sie wazee wa zamani (jokes) ngumu sana kupoteza kumbukumbuku mi hua nakusoma maeneo tofauti tofauti na kila nikikuona hua nakukumbuka.
 
Sie wazee wa zamani (jokes) ngumu sana kupoteza kumbukumbuku mi hua nakusoma maeneo tofauti tofauti na kila nikikuona hua nakukumbuka.
sasa mimi kuna siku uliniqoute ikabidi nikague makabrasha ndiyo nikakumbuka... ila hadi na leo haujanitoka.
 
Katika uzi mwingine humuhumu JF mtu mwingine kaandika eti wazungu wanawaogopa watu weusi kwa uwezo mkubwa walionao. Kwa uwezo kama huu lazima watuogope
 
Ndyo bby yan cku zote hzo
Hujui mm n wa mkoan mbn
Wanipa mashaka bebe[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bebe bebe upo mkoa gani kolomije au
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaskazin oyeeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njia panda hoyeeeeeeee

Karbu home bebe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njia panda hoyeeeeeeee

Karbu home bebe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] himoo hoyeeeee

me pia humo humo bebe
 
We Mwalim Ayoub acha hizo bana, naona sasa hv umehamia Jamii Forum kutuharibia wadogo zetu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] himoo hoyeeeee

me pia humo humo bebe
Waaaa waaaaaah kumbe

Haya mkuuu wilayan hoyeeeeeeee!!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi

Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.

Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.

Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.

Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.

Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.

I was looking at you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.

Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.

I hope you won't refuse.

Thank you
Naona mleta mada unataka utengeneze 'kiwanda" hapo!
 
Ulishindwa vipi kuomba namba wewe boya!!!!???? Wavulana wa Dar mnatuangusha ase
 
Yuko natural huyo.hata simu anatumia natural so huku hawezi fika.
 
Back
Top Bottom