kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Sie wazee wa zamani (jokes) ngumu sana kupoteza kumbukumbuku mi hua nakusoma maeneo tofauti tofauti na kila nikikuona hua nakukumbuka.poa kiongozi.. una kumbukumbu saana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie wazee wa zamani (jokes) ngumu sana kupoteza kumbukumbuku mi hua nakusoma maeneo tofauti tofauti na kila nikikuona hua nakukumbuka.poa kiongozi.. una kumbukumbu saana.
sasa mimi kuna siku uliniqoute ikabidi nikague makabrasha ndiyo nikakumbuka... ila hadi na leo haujanitoka.Sie wazee wa zamani (jokes) ngumu sana kupoteza kumbukumbuku mi hua nakusoma maeneo tofauti tofauti na kila nikikuona hua nakukumbuka.
Ha ha ha!! Makabrasha eeenh, sawa mkuu tuko pa1 sana.sasa mimi kuna siku uliniqoute ikabidi nikague makabrasha ndiyo nikakumbuka... ila hadi na leo haujanitoka.
Ndyo bby yan cku zote hzohivi babe nawe kumbe ni wa mkoan?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bebe bebe upo mkoa gani kolomije auNdyo bby yan cku zote hzo
Hujui mm n wa mkoan mbn
Wanipa mashaka bebe[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Bebe acha kunishusha hadh bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] bebe bebe upo mkoa gani kolomije au
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaskazin oyeeeeBebe acha kunishusha hadh bhana
Me nakaa wa kalomijee
Kaskazn moja bebe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaskazin oyeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] himoo hoyeeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njia panda hoyeeeeeeee
Karbu home bebe
mwanza na mwendokas wap na wapNi mimi mkuu
Waaaa waaaaaah kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] himoo hoyeeeee
me pia humo humo bebe
Ni zaidi ya hasara maana mtu kashindwa kumface alafu anakuja kumtafuta humuHasara hii.
Daah mkuu nimecheka sanaHuyo hata jf hayupo. Halaf si ungemfata hapohapo ukachukua namba?? . Huu ujinga ni sawa na ule wa kupunjwa nyama buchani halaf unalalamika njiani ukiwa unaenda nyumbani.
Naona mleta mada unataka utengeneze 'kiwanda" hapo!Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking at you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you