stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Hukumpiga hata kapicha kamoja tuone kama yaliyomo yamo?[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilifanikisha-ga mkuu... japo ilinibidi nitumie njia zingine.Nimecheka sana!! Off topic, hivi ile mishe yako ulishafanikisha?
Hongera sana maana si kwa sifa hizi ulizomwagiwa hapaNi Mimi bnaa.
Hongera nimesoma wanataka e-pass unayo ya zamani au hizo wanazonadi?nilifanikisha-ga mkuu... japo ilinibidi nitumie njia zingine.
niende wap jiranhivi upo!
Shukrani pia kwako.Hongera nimesoma wanataka e-pass unayo ya zamani au hizo wanazonadi?
hivi babe nawe kumbe ni wa mkoan?Ukiskia wanaume tupo mkoan hili wala
Hata halipingik
sijakuona sikuniende wap jiran
we ndo umepoteaga jiran ,sikusomi kabisasijakuona siku
Nimeanza kuzeeka. sasa si uwe unanitafuta ambako napatikana kwa urahisi kama sipo hapa?we ndo umepoteaga jiran ,sikusomi kabisa
chitchat haupo, thread huanzishi ,last seen 2017
Poa poa, pa1 sana mkali wao!Shukrani pia kwako.
ninayo ya Zamani... hizo si hadi 2020 mwisho wake!
poa kiongozi.. una kumbukumbu saana.Poa poa, pa1 sana mkali wao!
sasa nakupataje wkt last seen marchNimeanza kuzeeka. sasa si uwe unanitafuta ambako napatikana kwa urahisi kama sipo hapa?
Acha uongo wee mtoto... last seen ya JF au ya nje ya JF?sasa nakupataje wkt last seen march
ya jf...ya nchi si uligoma kunipaaAcha uongo wee mtoto... last seen ya JF au ya nje ya JF?
kweli,kabisa yani ni shudu katemausirudie tena huu ujinga ukipata nafasi itumie effectively.
acha uoga jiamini, empty set