Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Habarini wanajamvi...
Iko hivi, wiki kadhaa nyuma katika ya usiku wa manane nikiwa nipo macho huku nimelaza mwili kitandani nikiwa na akili zangu timamu kabisa.
Nimeona kama mtu ama niseme ni mtu mwenye jinsia ya kike kavaa nguo aina ya nikab... Ila uso alikuwa hajafunika.
Akipita huku akitembea taratibu kama akielekea chooni (ni master bedroom) ikabidi niangalie vizuri... Lakini bado nikawa naona hivyo hivyo. Nikajisemea moyoni naota au? Nikajijibu mwenyewe mbona nipo macho kabisa... Nikacheki kwa makini hadi kile kiumbe kupotelea chooni.
Huku nikiwa nina hofu nikachungulia kidogo chooni.. nikaguna tu... Ila kwa usiku ule nikawaza hata nikipayuka nitaonekana mwehu hawato nielewa.. nikasali kwa imani yangu nikalala lakini hivyo hivyo kwa kustuka stuka.....
Naamini kuna wataalamu wa mambo ya kiroho na yanayo endana na hayo... Hebu nipeni elimu au nifahamishe kuhusu hilo.