Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio yako ya battery 4.

Mimi si mfanyabiashara wa hilo eneo lakini Nina kuomba tu acha maana soon utakosa na wewe raha kama unavyo wakosesha raha hao wa mama aakati huu.

Nina alipu yangu ipo ndani siitumii, sasa wewe endelea tu hayo masikio yako tutayazibua maana tutaenda weka tangazo, la biashara za hao wamama nakuhakikishia hako karedio chako labda ukaweke ndani ya masikio ndo utasikia hao manabii unaowasikiliza na kuwakwaza wengine.

Ni onyo tu hilo nimemaliza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NYIE JF BANA
 
Back
Top Bottom