Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

Kwa Mimi ninaona kabisa atakayepitishwa ni Mbalawa kwanza Jiwe ndiye anamuamini amefanya kazi poa kwake.
 
Kile unachofikilia siyo kitakachotokea kumbuka ya Magufuli pale Dodoma
 
Mi nahisi MZUKULU Umetumwa na jiwe umponde Mwinyi junior!wewe ni tim mbarawa au Vuai!!!Sio kwa Chuki hii!!!
 
GENTAMYCINE ACHA KUPIGA TARUMBETA ZISIZO NA MAANA HAPA, POPOMA MKUBWA WEWE
 
Kazi Kwao CC ya CCM itakayokutana huko Mkoani Dodoma kuanzia Jumamosi ya Wiki kwani tayari nimeshawarahishia Kazi hasa hasa hapo kwa Dkt. Hussein Mwinyi. Wasithubutu kabisa kumpa watakuja Kunikumbuka Mzukulu.
Nilimsikia mpemba mmoja kijiweni ansema profesa hafa kabisa. Yeye na wenzake ni mwinyi anatosha. Nilkuwa sijui mwinyi alisomea marekani yeye ndie kanifumbua macho. NI MPEMBA KABISA NA SI MUUNGUJA. Hivyo kila mtu na upande wake tusubirie hatima ya jpili.
 
Mke wake tu ni mkristo
 
Hahahaha
Kumbe kabadilo id huyu mwamba
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5] ila uandishi ni uleule kweli aisee
Ndio yeye mpuuzi huyu mpiga ramli alichobadili tu ni kutoweka "quotation", POPOMA mkubwa huyu contents zake zile zile
 
Ukibadili ID ukumbuke na kubadili uandishi.
Yani kama hii psychology ndogo inakushinda ndo utaweza ku analyze wagombea wa Uraisi?
The GreatPopoma a.k. Gentamycine
 
Ule uliofanyika.ni mapendekezo wala sio mchujo kumbuka issue ya Bilal alipewa maksi za juu kufika huko akakatwa
 
Naunga mkono hoja ,Mwinyi azipewe maana baba halafu mtoto imekuwa Yemen hapa.
 
Huna hoja na hujui chochote kuhusu Mwinyi . Yaani unajisemea tu ni mnafiki ni mdini bila kueleza alifanya lipi lililokuaminisha kuwa ni mnafik au mdini? Hivi yupo Mtanzania au Muafrika ambaye sio mnafiki?
Kumbe umeona
 
sasa mmesema ni mkabila wakati inasemekana mkewe ni mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…