feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Kwa Mimi ninaona kabisa atakayepitishwa ni Mbalawa kwanza Jiwe ndiye anamuamini amefanya kazi poa kwake.
Nashukuru Ndugu kwa Kuendelea nawe Kuonyesha Madhaifu (Mapungufu) yake na nazidi Kusisitiza na Kuwaonya CCM katika Kikao chao cha Uteuzi huko Mkoani (Mji Mkuu) Dodoma kuwa wakimpitisha tu Dkt. Hussein Mwinyi watakuja Kujuta na nina uhakika kuna Siku watakuja hapa hapa JamiiForums na Kuzisoma upya hizi Mada zangu Kumhusu Yeye na Kukataa asiteuliwe kuwa Isles next President.
Ni ama wampe Mbarawa au Nahodha na Mmoja wao hawa akiapishwa tu basi haraka sana amteue Mwenzake kuwa Makamu wa Pili wa Rais huko.