Papaa007
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 1,103
- 1,737
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kushangaa uzi wa mtu anatafuta mume au mke nikukosee..ningeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane shimoni pale kwa jamaa wa juice ya miwa ..saa moja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa mimi jamani
Tukutane shimoni pale kwa jamaa wa juice ya miwa ..saa moja.
Asante sana jamani mkuu, mimi natumiaga mirinda nyeusi!
Keshanipata bdo kunichukua,
EeehhhTukutane shimoni pale kwa jamaa wa juice ya miwa ..saa moja.
Nani kasema
Saa moja ni jioni shemEeehhh
Usiku tena jamani shemeji?!
Shem saa moja kuna kagiza jamani!!Saa moja ni jioni shem
Hahaa mi mwenyewe natafuta mkuu, ndyo maana napita pita ili mleta uzi akipata wengi wengi anipasie pia, unajua mkaa bure si sawa na mtembea bure ohoo😀Nilitaka kushangaa uzi wa mtu anatafuta mume au mke nikukosee..ningeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Da vincci au Mimi huyoKwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari
Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi
Sifa za huyu kaka
1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka
2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo
3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri
4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana
5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments
Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza
Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Jaby'z, how are you?Hi there!!
Hahaa mi mwenyewe natafuta mkuu, ndyo maana napita pita ili mleta uzi akipata wengi wengi anipasie pia, unajua mkaa bure si sawa na mtembea bure ohoo[emoji3]
Amtaje tumsaidieAcha udomo zege mfate pm umwambie haya au mtaje hapahapa ajijue
We unampenda pombe zaidi sitaki kuwekwa sub mimi.Sasa unatafuta je wakati nipo hapa??
Tena kipindi hii ya corona tunamaliza mambo kimya kimya[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui utani huyu atakuja kweli shauri yako!!Keshanipata bdo kunichukua,
Mwambie aache utani wa ngumi
Pwapwahaha...! [emoji28][emoji28]Amkeni amkeni, zimeanza kushuka bei, na nauli zinajilipia!