Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Hii ni ile style unafunga punje ya mhindi na kamba alafu unamtupia kuku huku umekamatia kamba,safi sana!

Karantiin ikiisha mwamba anakua kama jogoo alienyonyolewa manyoa yote yakabakizwa ya mkiani tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]
tapatalk_1582095619075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unajitongozesha alafu uje na Uzi wa kuliwa kimasihara
 
naona uchumi umeyumba dhidi ya janga la corona sasa unatafuta sehemu ya kujipatia chakula.
 
Back
Top Bottom