Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hapa tunaenda sawa sasa jirani yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunaenda sawa sasa jirani yangu
Tumekumiss pia jamani
[emoji23]Hii ni ile style unafunga punje ya mhindi na kamba alafu unamtupia kuku huku umekamatia kamba,safi sana!
Karantiin ikiisha mwamba anakua kama jogoo alienyonyolewa manyoa yote yakabakizwa ya mkiani tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji86]Acha udomo zege mfate pm umwambie haya au mtaje hapahapa ajijue
Am good, how is your weekend?Hello Jaby'z, how are you?
It's fine🙏 ,am just at home chilling ,no kuzurura dahAm good, how is your weekend?
HahahahahahNa umwambie kuwa najua ni yeye mimi nimetoa sifa zangu tu
Ewaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maisha yamekuwa magumu anatafutwa mtu wa kubebeshwa mzigo, pambana na hali yako tu mkuu[emoji28]
Kwakweli nimepotea sana uzee huu unasababisha nashindwa kuingia jf