Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhuuu nilimaanisha wewe mimi huyo simjui hataUnamfahamu na huyu?
Mi najuaga wa kiume...
Mangi akeeSijui ni mimi?
avatar mkuu😂😂😂😂Samahani kwakuchelewa ni shughuli za hapa na pale za kuwezesha tonge kwenda kinywani ndizo zilizonichelewesha, nimeitikia wito tunaweza kuyajenga sasa
Daah, wacha niibadili kwanza isije nikosesha mwenza lockdown hiiavatar mkuu😂😂😂😂
😂😂😂😊Daah, wacha niibadili kwanza isije nikosesha mwenza lockdown hii
Nimeshindwa kusoma comment zote zaid ya 200 ,isipokuwa nakupongeza bint kwa kuweka wazi hisia zako japo hujajua mapokeo yatakuwaje na ndio maaana ukaogopa kwenda moja kwa moja kwake anaweza kukuchukulia kama muhuni Fulani hivi ,hongera sana kuna njia nyingi za kumpenda mtu jap o uwe makini unaweza ulichotarajia kikawa sio maana anaweza mtu akawa WA ushauli na mamb mazuli lkn yeye akawa sio mzuli wala hana pesa ,asante kwa kushiriki.Kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari
Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi
Sifa za huyu kaka
1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka
2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo
3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri
4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana
5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments
Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza
Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#
Sent using Jamii Forums mobile app
Watafiti Korea Kusini wamebaini visuri vya korona vinaweza kutojionyesha kwenye vipimo hadi mwezi, wameshauri watu kurudia kupima baada ya mwezi hata kama umeshapona.Kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari
Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi
Sifa za huyu kaka
1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka
2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo
3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri
4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana
5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments
Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza
Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#
Sent using Jamii Forums mobile app
7800
Inaonekana huu ugonjwa ni mpya kabisa, kila siku watafiti wanakuja na kitu kipya, kuna hatari kubwa sana mbele yetu kwa kweli, lockdown ni muhimu sanaWatafiti Korea Kusini wamebaini visuri vya korona vinaweza kutojionyesha kwenye vipimo hadi mwezi, wameshauri watu kurudia kupima baada ya mwezi hata kama umeshapona.
😂😂😂