Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Samahani kwakuchelewa ni shughuli za hapa na pale za kuwezesha tonge kwenda kinywani ndizo zilizonichelewesha, nimeitikia wito tunaweza kuyajenga sasa
 
Samahani kwakuchelewa ni shughuli za hapa na pale za kuwezesha tonge kwenda kinywani ndizo zilizonichelewesha, nimeitikia wito tunaweza kuyajenga sasa
avatar mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeshindwa kusoma comment zote zaid ya 200 ,isipokuwa nakupongeza bint kwa kuweka wazi hisia zako japo hujajua mapokeo yatakuwaje na ndio maaana ukaogopa kwenda moja kwa moja kwake anaweza kukuchukulia kama muhuni Fulani hivi ,hongera sana kuna njia nyingi za kumpenda mtu jap o uwe makini unaweza ulichotarajia kikawa sio maana anaweza mtu akawa WA ushauli na mamb mazuli lkn yeye akawa sio mzuli wala hana pesa ,asante kwa kushiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafiti Korea Kusini wamebaini visuri vya korona vinaweza kutojionyesha kwenye vipimo hadi mwezi, wameshauri watu kurudia kupima baada ya mwezi hata kama umeshapona.
 
Ukiona choo ndotoni... Usiingie huo ni mtego..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Watafiti Korea Kusini wamebaini visuri vya korona vinaweza kutojionyesha kwenye vipimo hadi mwezi, wameshauri watu kurudia kupima baada ya mwezi hata kama umeshapona.
Inaonekana huu ugonjwa ni mpya kabisa, kila siku watafiti wanakuja na kitu kipya, kuna hatari kubwa sana mbele yetu kwa kweli, lockdown ni muhimu sana

Sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…