Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Vile watu wanavyo subili like imekwenda kwa nani.macho yamewatoka.
 
Msimu wa Corona bhana

Kuna mambo ni magumu sana kuyapata

Halafu kuna mambo ni rahisi sana kuyapata

Tafadhali mtanzania mwenzangu, usishikane mikono, nawa mikono mara kwa mara, funika mdomo wako unapopiga chafya/unapokohoa, vaa barakoa na kaa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asant kwa kutukumbusha covid 19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kuwa muwazi tu kama kodi ya miezi mi 3 ishaisha unatafuta hifadhi sasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana kipindi cha nyuma piemu zenu mlizipiga SOLEX
Umetembelea pm ngapi ndugu mwenyekiti wa mabahariaπŸ˜€πŸ˜€
 
Nimekagua kila comment kuona aliyolike lakini naona bado mhusika hajacomment...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…