Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Vile watu wanavyo subili like imekwenda kwa nani.macho yamewatoka.
 
Msimu wa Corona bhana

Kuna mambo ni magumu sana kuyapata

Halafu kuna mambo ni rahisi sana kuyapata

Tafadhali mtanzania mwenzangu, usishikane mikono, nawa mikono mara kwa mara, funika mdomo wako unapopiga chafya/unapokohoa, vaa barakoa na kaa nyumbani
Kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari

Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi

Sifa za huyu kaka

1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka

2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo

3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri

4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana

5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments

Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza

Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wa Corona bhana

Kuna mambo ni magumu sana kuyapata

Halafu kuna mambo ni rahisi sana kuyapata

Tafadhali mtanzania mwenzangu, usishikane mikono, nawa mikono mara kwa mara, funika mdomo wako unapopiga chafya/unapokohoa, vaa barakoa na kaa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Asant kwa kutukumbusha covid 19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1587231438736.gif


...
 
Nimekagua kila comment kuona aliyolike lakini naona bado mhusika hajacomment...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom