Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

cute love fhxjhdehxuw djussbve jdhfbhsudhrhdxh ejdbdbduwjdj😂😂 dncrhxbv xgs

jfuxdbehfnf skajshd!!! euefrvfuejdj wehdehdhdf djdugfhhdjxhsja oazudhebse wuudifhbwuhdh jsdbduwhhwsi💗
 
Kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari

Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi

Sifa za huyu kaka

1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka

2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo

3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri

4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana

5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments

Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza

Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jipya ila uwezo wa akil ndio unapimwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
Back
Top Bottom