Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Aisee hiz Avatar zetu hz
Mkaka ameshatunukiwa amekwisha tunukiwa tayar utafanya nn wewe ulokosa fursa?Kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari
Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi
Sifa za huyu kaka
1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka
2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo
3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri
4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana
5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments
Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza
Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#
Sent using Jamii Forums mobile app
ShunieAcha udomo zege mfate pm umwambie haya au mtaje hapahapa ajijue
Daah huyu mwamba namkubali sana.
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji3][emoji3][emoji3] ,kumbe uliyekua unatafutwa ni wewe, kila rakheri quarantine ikiisha mrudi na mapacha hapa
Tumevaa barakoa kile sehemu.[emoji3][emoji3][emoji3] ,kumbe uliyekua unatafutwa ni wewe, kila rakheri quarantine ikiisha mrudi na mapacha hapa
Njoo sasa nimeshaongea namleta uzi ameniambia fresh tu nikuchukueHahaa mi mwenyewe natafuta mkuu, ndyo maana napita pita ili mleta uzi akipata wengi wengi anipasie pia, unajua mkaa bure si sawa na mtembea bure ohoo[emoji3]
Sikujaga Pm kumbe ulinitafuta aseKwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari