Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

We kaka uliyekimbiwa usikubali nakwambia njoo hapa utupe ushuhuda otherwise hiii ni chai tena ya maji ya chumvi isiyo hata na viungo.
Hahahaaaaaaa!!! Haki umenichekesha, nimecheka kama chizi peke yangu.
 
Mariana unaniangusha, hivi kwa akili za kawaida tu mwanaume sio ndugu yako wala baba yako akutumie nauli utoke Mwanza kuja Dar kupiga story? Au wenzetu mnaishi dunia gani maana mie naona kama nipo Pluto.

Wanaume gani kwanza mnawaongelea labda tuanzie hapo.
Kuna tatizo kati yao mtoa bandiko na aliezungumziwa humu kama ni true story
 
Mariana unaniangusha, hivi kwa akili za kawaida tu mwanaume sio ndugu yako wala baba yako akutumie nauli utoke Mwanza kuja Dar kupiga story? Au wenzetu mnaishi dunia gani maana mie naona kama nipo Pluto.

Wanaume gani kwanza mnawaongelea labda tuanzie hapo.

Ngoja nimsaidie mtoa mada itakua alichukulia longtime relationship ndomana hakutaka kuvuliwa chupi kwa style hii lkn mlengwa alitaka one night stand
 
Ni fundisho kwa wale wanaume ambao unakuwa naye kwenye mahusiano bila kukwambia wanataka mahusiano ya kimapenzi
Hivi bado kuna urafiki wa kaka dada miaka hii...!!!

Narudia tena
SITISHA HIYO SAFARI NJOO TUKAPIME MIMI NA WEWE, TENA NIPO HAPA JIRANI NA HOSPITAL YA RUFAA YA TEMEKE
 
Hebu wajifunze mambo yao ya huko nje wayamalizage huko huko. Lasivyo kama wameamua kujitoa akili basi wawe wanatushirikisha tangu hatua za awali kabisa ili twende sambamba.

Tatizo tunasahau kama ke ndowana mengi ya kuloose inapokuja kwenye haya mambo hata kama upo right utaonekana malaya tu
 
Kama lengo lake lilikuwa hilo basi alipaswa kuwa makini sana. Mtu mmekutana mtandaoni,hamfahamiani, mmechat kidogo tu, akakuonyesha nia yake mapema kabisa, bado unasafiri kumfuata halafu unashangaa yeye kutaka hicho alichoonyesha nia nacho mapema tu?

Ngoja nimsaidie mtoa mada itakua alichukulia longtime relationship ndomana hakutaka kuvuliwa chupi kwa style hii lkn mlengwa alitaka one night stand
 
Back
Top Bottom