Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Ila dada au ulikuwa haujawahi kwenda Dar ndo ukataka uende ukapaone kwa mara ya kwanza kupitia gharama za huyo kaka? Sikulaumu maana watu wengi sana wa mikoani hasa wanaume wanatamani sana kwenda Dar maana Dar ndiyo Tanzania
Yaani wanawaonea wivu sana watu wanaoishi Dar mkoa wenye heshima zake wanavyofaidi mazuri ya ule mkoa ndiyo maana hadi wanakuja na kauli kama wanaume wa Dar sijui nini nawaelewa sana hawana lolote ni wivu tu! Hehehehe

Kwa mwaka huu nimepanda mara 38 hivi