Kwa mwaka huu nimepanda mara 38 hivi
Ndicho nilichoelewa pia.Au kwa lugha nyepesi, yeye kudinywa na stranger sio ishu kiviiile.... Ili mradi wapime ngoma tu baaas....
Yaani condom tupa kule...
Tangu dunia inaanza hakuwahi kuwepo mwanaume wa ivo...mwenyew nawaza sipati majibu, Yaani utadhani kaka yake ndo kamtumia nauli akamwangalizie nyumbaMariana unaniangusha, hivi kwa akili za kawaida tu mwanaume sio ndugu yako wala baba yako akutumie nauli utoke Mwanza kuja Dar kupiga story? Au wenzetu mnaishi dunia gani maana mie naona kama nipo Pluto.
Wanaume gani kwanza mnawaongelea labda tuanzie hapo.
Sio yule wa JVC, RANGE ROVER na BMW alienda akitarajia hayo akakutana na IST akakimbia [emoji23][emoji23][emoji23] sijasema ni kiduku liloMm bwana sitaki kujichosha atuambie tu ni nanii
😂😂😂😂 tulia na wewe nisije kukupost bure na mpensi wako uleni wivu tu na pua lako
Aliekuambia huyo binti ni nanii??
Anamwandiko wa kiume kabisa
100+%Hivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
Kama lengo lake lilikuwa hilo basi alipaswa kuwa makini sana. Mtu mmekutana mtandaoni,hamfahamiani, mmechat kidogo tu, akakuonyesha nia yake mapema kabisa, bado unasafiri kumfuata halafu unashangaa yeye kutaka hicho alichoonyesha nia nacho mapema tu?
Kuna uzi hayo yalishawahi kutokea, wapenda ubuyu tukafaidi tu. Jf kuna muda inakuwaga ya hovyo hovyo.Thread ifungweee. Kaka umemaliza kila kitu
Mara paap kaka aliyekimbiwa anakuja na I'd mpya anaanza kutoa shit juu ya mtoa mada[emoji23]
Tangu dunia inaanza hakuwahi kuwepo mwanaume wa ivo...mwenyew nawaza sipati majibu, Yaani utadhani kaka yake ndo kamtumia nauli akamwangalizie nyumba
Hahaha..kwamba anakula vichwa ili apate nauli ya kurudi kwao nyarugusu sio??
Naona umekimbiwaWewe nae kigeu geu. Kwanza ulisemaga mwanaume wa dar hutaki. Poa tu.
Jamaa angekubali kupima sidhani kama hii thread ingeanzishwa maana wanawake angalau tuna haya za asili.Ila shida haikua kwenye kutoa naniliu huyu amepata ukakasi sababu jamaa amekataa kupima inamaana angekubali wangekua kwenye stage nyingine yakulana bila kuringiana
Hilo hata mimi nimeliona, jamaa alikua anataka kupita tu,Ngoja nimsaidie mtoa mada itakua alichukulia longtime relationship ndomana hakutaka kuvuliwa chupi kwa style hii lkn mlengwa alitaka one night stand
We ungekua jamaa ungefanyaje.?Jamaa alitaka kufunua na kufunika.
Thread ifungweee. Kaka umemaliza kila kitu
Mara paap kaka aliyekimbiwa anakuja na I'd mpya anaanza kutoa shit juu ya mtoa mada[emoji23]
Alitakiwa amsome huyo Dada anataka mahusiano gani.We ungekua jamaa ungefanyaje.?