Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Hujakutana na dr benji...yeye anavipimo vyote kwe gari kuanzia cha ukimwi, homa ya inI hadi malaria...huyo atakua nyuki tu ndo anaharaka ah ah MC,MC gonga mezaa
 
We dada kilichokufanya utoke mwanza mpaka dar hasa ni nini! Unafanya biashara au inakuwaje, na je Kama ungekubali kupima na kukutwa mpo salama wote mngetiana alafu inakuwaje embu malizia season basi
 
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho

Ya PM malizaneni PM.

Ukileta ya PM hapa, hata ya kitandani ndani ya ndoa utaleta hapa pia.
 
Sio bwege ni baharia, ubaharia una gharama zake za hapa na pale...
Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.
 
Kwahiyo unasafiri toka mwanza kuja dar umuone mtu?huko whtsap hamkutumiana picha?

Ww ulikuwa tayari kutoa papa baada ya cku ngap tangu ufike dar?

Ndio maana siku hizi hata mtu akija PM nashindwa kuongea vzr ID nyingi zipo kwa ajili ya kuchorana tu
Ndo maana ulinichunia pm yangu eeehh
 
Back
Top Bottom