Ataje jamaniAtaje bathi hata kwa code
Weka nakuweka kwenye kundi la mafurushi [emoji1787][emoji1787] msemo wa auntie yanguTulia basi au unataka niweke zile Convo, hapa
Hujamsoma hapo kwenye thread yake yalipoanziaKwani yalianzia wapi mama la mama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au alijua wanaenda kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu
Naomba unitag au link ya huo uzi, jana sikuwa humu sanaOP ondoa makandu kandu ya JF inakuja, ni vyema wakabadilisha life style yao leo...
Jana mwenzao kakimbia, nadhani siku akirudi atakuwa mstaarabu...
It seems wewe sio I'd ile niliyokuwa naifikiriaMungu aendelee kuwabariki na awakinge na wale wadada wa humu ambao wanatamani uhusiano wenu uyeyuke kama barafu...
Siku ya mchango msisahau kunipatia kadi..
YaaaniHivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.
Ndo maana ulinichunia pm yangu eeehhKwahiyo unasafiri toka mwanza kuja dar umuone mtu?huko whtsap hamkutumiana picha?
Ww ulikuwa tayari kutoa papa baada ya cku ngap tangu ufike dar?
Ndio maana siku hizi hata mtu akija PM nashindwa kuongea vzr ID nyingi zipo kwa ajili ya kuchorana tu
Nitaweka picha yako ukimbie hapa kama mwenzako