Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Tutajuaje kuwa kuna wachuchu wanatongozeka na kumegeka kizembe zembe...

Acha waweke hapa tuwajue, imeisha hiyo!!!
Hivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
 
Ndicho nilichoelewa pia.
Alikuwa tayari kwa tukio ila tu wapime kwanza.
Yaani kabisa nikutumie nauli toka Mwanza mpaka Dar tuje kupiga stori?? Na wewe unapanda kabisa basi ukijua unaenda kupiga stori?? ... Labda huyo mwanaume awe na sifa kama za Yesu...

Lakini hata hivyo tunamwonea bure mleta mada. Yeye alishajua kabisa anaenda kudinywa tatizo mdinyaji kasusa kupima umeme...

Wanawake bhana... tuseme baadhi ya wanawake mwalimu wao wanamjua mwenyewe
 
Sasa ww ulitaka usafiri 900km uende kumsalimie tu?..hamna haja ya kumfuata mtu wa jinsia tofauti umbali huo km huna hisia nae la sivyo inakuwa ni njaa tu.

Mtakuja kunyongwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mwenyewe fala,humjui hakujui,tena kufahamiana ni humu jf.Biede biede unavibeba vimatako vyako unaenda kukutana na mtu Dar,ingekuwa hapo Mwabuki au Misungwi walau,Dar kabisa?Ungetafunwa tu tena peku ili utie akili.Halafu unajisifu eti papara za "me".Umewamaliza wa Royal Pub/Kahungwa/Shinyanga quest ukaona uwapate wa Dar.Kicheche mkubwa we wa Mabatini na Makoroboi.

Halafu jamaa nalo kenge kweli,ameshindwa kuwawakilishi vyema wala chips/mahindi na pilipili wa dar kweli?Shame on him!!

Wanawake wa Sampuli hii mnawaaibisha wanawake wenzenu wanaojitambua na wenye akili,hivi mnakwama wapi?
 
Mungu aendelee kuwabariki na awakinge na wale wadada wa humu ambao wanatamani uhusiano wenu uyeyuke kama barafu...

Siku ya mchango msisahau kunipatia kadi..

Tafadhali namimi nipewe kabisaa more than willing to contribute.
 
Si lazima tuduu, tunaweza kwenda home na tuchill tuuu [emoji443][emoji444][emoji445]

Mie naimba tu babu.
 
cutelove,
Lakini umesema alikuwa anakuomba mlale pamoja na sio mfanye mapenzi. Ilikuwaje mpaka ukawaza kuwa una allergy na condom ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…