Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Kuna mdau mmoja aliniambia
Mwanamke akikosa akili na asipouheshimu mwili wake zaidi na zaidi sehemu zake za Siri ndiyo zitaumia zaidi

Sijui ni ukweli ama laaa!
 
Kama ungejua hutaki kuliwa usingekubali akutumie nauli na Alipie chumba,kama umekubali yotee hayo yafanyike alaf dk za mwisho ndio unachomoa betri huo ni uonevu
 
[emoji23].mimi hata ukinipost haina madhara waga sijipaishi kiivyo
Na sisi tutajadili vimiguu vyako vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ na mpua wako kama wangu
 
Mtabiriiii. ..hahaa. . i guess drama zitaendelea I believe mlengwa hawezi kaa kimya lazima atajibu tuhuma tu let's wait and see. .



Cc Smart911
Na akijibu patakuwa hapatoshi hapa, sema itasaidia kuwakomaza kiakili Hawa ndugu zetu
 
Njoo ukapime na mimi kisha tukalale kama unavyotaka
 
Akijibu hili nitag
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi ni kweli ni mwanaume au mwanamke mwenzako.

Nauli kutoka mwanza, wakati mimi nkituma buku jero ya ktoka apo temeke, ukikataa nakubaka, apo hamna mwanaume
 
Naungana na ww kwenye hili, japo utakua hujatenda haki kama hukumuambia kama una allergy na condom. Pengine hakuona point ya kupima alafu avae condom ingawa usalama ni muhimu kuliko raha ya siku moja itakayoleta majuto ya milele. cutelove,
 
Niliwaza kama wewe, me sio mchangiaji kivile ila ngoja nikuunge mkono, huwa nawaza sana kwa upande huu, maana dr aliwahi kusema urudi baada ya miez 3 nikarudi...sijui kama wanaendeleaga kurudi baada ya miezi 3 au wamegundua vipimo ambavyo ukilala na mtu jana leo vipimo vinaonesha, wataalamu wa afya wanielimishe najua wanapitia huu uzi
 
Story nzuri mpenzi. I bet you can make a good storyteller.
 
cutelove,
Sikubaliani na uzi wako, wanawake wa leo hayupo mwenye ujasiri wa kukataa sex, kama ulikubali kutumiwa nauri, ukasafiri..kwani ulienda kufanya nini huko Dar? We acha story za ajabu ajabu, sema promo unayoitafta hapa tukuelewe. Mi nasema hivi, hapa bongo hayupo mwanamke wa hivo, you are so cheap nowadays, you are at very low price and your profile is too low for you to deny sexπŸ˜΅πŸ˜΅πŸ˜΅πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…