Nadhani ni ule wa jana uliyoweka picha
Unataka tuharibu jf isimame amaHebu nitumie scrn shot ya hiyo pm uliyotuma
Hivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
[emoji38][emoji38][emoji38] na hata tukinyimwaga tunasema tumekula ila ukweli ndani kwa ndani
Una uhakika?Safi sana, kama nawaona baadhi ya wanaume humu walivyovimba mwanaume mwenzao kushindwa na bado.
Kama hauko tayari kutoa mzigo, nenda kwa gharama zako.
Mimi ni mara chache sana kujibu pm za watu yaani moja kati ya 10 sio dharau ila michoreshano ya kipumbavuKwahiyo unasafiri toka mwanza kuja dar umuone mtu?huko whtsap hamkutumiana picha?
Ww ulikuwa tayari kutoa papa baada ya cku ngap tangu ufike dar?
Ndio maana siku hizi hata mtu akija PM nashindwa kuongea vzr ID nyingi zipo kwa ajili ya kuchorana tu
Alisafiri kilometa 900 kwenda kulaSasa ww ulitaka usafiri 900km uende kumsalimie tu?..hamna haja ya kumfuata mtu wa jinsia tofauti umbali huo km huna hisia nae la sivyo inakuwa ni njaa tu.
Mtakuja kunyongwa
Alafu kupima kwa ajili maalum ya kuhalalisha zinaa...Nipo upande wa huyo kaka kwa jambo moja tu...kukataa kupima
cutelove kupima sio jambo dogo eti,bora ingekuwa kupima malaria basi
Yaani huyu bibie muaminifu sana aisee..Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.
Nimekupenda kwa kujithamini...ila kidogo ulikuwa rahisi sanaa...kwahiyo mngeenda kupima...ungempa mambo...Sijaingia mitini,papara zake