Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Hahhaha kwahiyo akaja Pm ukaona pitia comments zake na post zake ukapima kabisa ukaona huyu atakuwa na maisha flani mazuri maana michango yake ipo kwenye watumia magari tu mkahamia what's up namba na kila kitu mwishowe ndo kafeli kijinga hivo?????


Ila kuna watu majasiri mi kutongoza mtu nisiyemjua siwezi niliacha form 4...
 
Sasa unaenda kufanyaje? Ni mdogo wako huyo useme utaenda kujadili nae namna ya kumlipia ada? Mambo mengine ni kujiongeza tu kidogo lasivyo mtaishia kutulaumu yani nigharamike uje unipigishe story
Hivi nyie kila siku mnasema wanawake wa siku hizi warahisi sana.
Ukimtongoza anakupa na papuchi au sio nyie. Dada alikuwa tayari kujenga mahusiano mazuri na jamaa ambayo pengine yangekuwa imara na kuzaa matunda lakini jamaa tamaa zimem-cost.
 
Back
Top Bottom