Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Umemkataa tena, hata mwanzoni uliwahi kuleta stori ya kumkataa mkaka aliyekuja kwako mlale naye badala yake ukamtafutia gesti.

Kila la kheri ufike salama huko Mwanza
 
Hivi nyie kila siku mnasema wanawake wa siku hizi warahisi sana.
Ukimtongoza anakupa na papuchi au sio nyie. Dada alikuwa tayari kujenga mahusiano mazuri na jamaa ambayo pengine yangekuwa imara na kuzaa matunda lakini jamaa tamaa zimem-cost.
Kwa hali hii utasema alikua na mahusiano mazuri? Hichi kilichotokea kakiandaa mwenyewe ni vile kakutana na kinyume na matarajio yake
 
Halafu siku nyengine utakuja kufa kizembe boya we mtu katoka kungonoka jana kachukua magonjwa huko ww leo unamwambia twende tukapime anakubali mnapima anaonekana mzima unaenda mpa nyama kwa nyama baada ya muda ndio utakuja elewa hiyo mivipimo yenu sio!
 
Back
Top Bottom