Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka


Daaah we jamaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka wazi amekutumia kiasi gani?
Wasiwasi wangu ni kuwa huenda hiyo ni ID fake ukute dume ametumiwa nauli akaenda kuhonga bar
 
Nipo upande wa huyo kaka kwa jambo moja tu...kukataa kupima

cutelove kupima sio jambo dogo eti,bora ingekuwa kupima malaria basi
Siku niliyoamua kupima sijui ule ujasiri ulitoka wapi ila nilijikuta nimefikia maamuzi nikaenda Magomen hosptal nikawaambia nimekuja kupima. It was November last year. Baada ya kupima nikarudi kuperuzi Jf wakati nasubiri majibu huku niko comfortable kabisa na hata nilipoitwa kufuata majibu nilikuw normal kabisa ingawa historia yangu ya huko nyuma haikuwa poa sana. Asante Mungu kuwa niko safe na nimepima tena this year Palestina Sinza.
Kitu ambacho nimegundua ni kuwa siku hizi wapimaji wa UKIMWI hawatoi tena ule ushauri nasaha kabla na baada ya kupima. Yaani kwenda kupima ngoma haina tofauti na kwenda kupima Malaria
 
Mama cutelove kama bado upo jijini hapa chukua uber uje hawa Hawaii, tupge stori mbili tatu. Sitokuwa na papara kama hyo boya, na naagiza upaja mzima wa mbuzi ukifika mambo swaafi kabisa.

Hatuwezi waacha watoto wazuri wateseke tutawagharimikia kila kitu hata nauli tena ticket ya ndege warudi kwao salama.
 
I think next time my dear sister if this is true, here is what you should do, invite that person to your area, thats in this case invite him to mwanza, dont think one can send you fare from mwanza to dar and you think he is coming to just have a mere talk with you, in short USE WISDOM, all the best dear
 
Ungejiongeza ona sasa nauli inaharibika buree mwisho wa siku tutapata thread za wale wanaume tuliotuma nauli madem wakaingia mitini
Mimi situmi nauli NGO, nawambia mrembo anunue ticket kwa hela yake akija namurudishia na pia nampa ya kurudi na ingine atafungua biashara, hii mambo ya kutuma nauli kwanza niligoma kitambo mkuu
 
Good Girl.
 
Yaani nimecheka sana mpaka basi sina mbavu
 

Naona umemchana live mkuu
 
Hahahaha hahahah dah[emoji13]
 
Na mimi nakuja PM unaporudi Mwanza upitie Moro upate mapumziko kidogo tukatembee tembee Udzungwa na Mikumi[emoji4]
 

Hongera mkuu,mie nitakuja kupima nikifika muda wa kuamua kupata mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…