Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Acha nao hao dada wanaokucheka na kukudhalilisha humu ndani

Kila mtu anasumbuliwa na stress zake za maisha akipata mnyonge basi anampumuzikia kweli kweli[emoji3]
Labda hukuelewa,Ghana Mwanza,karibu na kona ya Bwiru
 
Acha nao hao dada wanaokucheka na kukudhalilisha humu ndani

Kila mtu anasumbuliwa na stress zake za maisha akipata mnyonge basi anampumuzikia kweli kweli[emoji3]
Yani Kama yeye ndio wa kwanza kukutwa na tukio jamani
 
Yaani ulipiwe nauli toka mwanza ulipiwe na hotel then uje tu mtu akuone usoni? Wewe umekuwa tv au? Km ni mm nisingekuacha aisee, ulikutana na pimbi!
 
Daaa that was dreadful

Kupima was very simple... very easy for quality assurance

Sijaona cha ajabu zaidi ya safety needs
kupima ni rahisi shida huwaga ni majibu kuyapokea
 
Back
Top Bottom