Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Hawa hawakuwa serious kama ulivyosema.
Alafu atarud mwanza na nyuzi kama hizi
 
Hivi na sie tungekuwa kila kinachotokea pm unaweka thread ingekuwaje jamani

Ebu wakue waache utoto huu ni zaidi ya utoto
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Eti kwa mfano ule msala wetu tukiweka hapa mbona Moderators wata-pin uzi wetu.
 
Yaani umetoka safari yote kuanzia mwanza unakuja kuzingulia dar..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…