Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Oooh basi nishaona tatizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila watu jmn
 
Kwanini amekuwa na haraka kiasi hiki???
Yaan kutoka Mwanza to Dar bado tu hakuwa ameamini kwamba uko tayari...

Kwa mbinu hizo hizo alizokushawishi hadi umefunga safari kwa ajili yake kuja Dar, alitakiwa azitumie kuhakikisha unamuamini zaidi ya ulivyokuwa unamwamini mwanzo, halaf kiulaini kabisa baada ya kujimegea vya kutosha angekuwa shujaa wako....
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…