Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Kwa hiyo umbali wote huo aliosafiri mleta Mada ilikuwa ni kwa ajiri ya urafiki tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimefurahi kwasababu bidada kasimamia msimamo wake, jamaa aliamini lazima amkule. Wakati mwingine mtu unataka urafiki lakini mwenzako anawaza ngono tu. Uchumba mzuri unaanzia kwanza kwenye urafiki sio kukurupuka kubanduana!
 
Wanawake/wanaume wa kuweka mambo yao ya faragha hadharani wengi wao huwa hawajitambui.

Umekutana na kichwa maji ila ningekuwa mimi ningekubaka na usingenipeleka popote pale.
Kwa mwanamke anajielewa. Ukimfanyia hivo basi 30 years inakuhusu.
 
Mwinchumu2019, Hivi ingekuwa mwanaume kaanzisha uzi wa kusema kuwa kapiga demu na kusepa au kazalisha demu na kuacha mngeongea yote haya? Mngesema kuwa huyo mwanaume naye kafanya uhuni na ushamba kwa mwanamke?
 
Ndiyo kila siku wanaume huwa ndiyo mnashinda kwenye kila kitu na wanawake tunapotezea ila ikitokea mara chache wanawake wanashinda wanaume mnakuja juu mnasahau kwamba mmeshashinda vya kutosha
Ehehee naona Huu umewapa furahaa Sana kwa kumliza huyu mwanaume wa dar?
 
Hivi ingekuwa mwanaume kaanzisha uzi wa kusema kuwa kapiga demu na kusepa au kazalisha demu na kuacha mngeongea yote haya? Mngesema kuwa huyo mwanaume naye kafanya uhuni na ushamba kwa mwanamke?

Mm binafsi ningesema

Kwangu ukweli ni ukweli tu, hata usemwe na adui yangu.
 
cutelove, ]Cutelove, Baby wangu isije ikawa unatudanganya, kumbe ni wewe ulimtumia picha feki. Baada ya kukuona live, kaamua kukurudishia papo kwa hapo stendi...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimefurahi kwasababu bidada kasimamia msimamo wake, jamaa aliamini lazima amkule. Wakati mwingine mtu unataka urafiki lakini mwenzako anawaza ngono tu. Uchumba mzuri unaanzia kwanza kwenye urafiki sio kukurupuka kubanduana!
Naomba tuanzie kwenye urafiki, unitembelee huku kijijini.
 
Mpaka sasa tumejua ya upande wa mtoa mada bado ya aliepo ndani ya mada husika ila uyu dada kakimbia mechi laivu
Lakini si alisema hayuko tayari kwanza hadi wapeana muda kidogo na wapime? Mtoa mada siyo kwamba alikuwa hataki ila huyo kaka ndiyo alileta papara hadi mtoa mada akahisi vibaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukweli mnaumia kwasababu hamjaonja
Ni kama wanawake wanaita vibamia baada tu ya kuachana [emoji28][emoji28][emoji28]
Vijana mnanipa raha sana
[emoji16][emoji16][emoji16] mambo ya binadam hayo
 
Kwahiyo wewe ndio una hivyo vitu Tz mwenyewe? Acha ushamba.
Tulia mama, tatizo umejaa gesi bila hata kunielewa! Kwenye comment yako umesema "wanaume wanadhani ukishaenda kwake ndio umeshamkubalia"

Sasa mimi kukuuliza hivyo niliimanisha unapokuja kwangu ni obvious unakuwa umeshakubali kuwa na mimi na kinachokuleta ni banjuana tu wala sio kushangaa shangaa au stori tena.
 
Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.

Aliyetuma nauli alijua ni nini anataka ila aliyetumiwa nauli naye akakubali kuja tu "eti" kwa nia ya kuonana alijidanganya, yaani asiwe na sense yoyote kwamba huyu jamaa ananitaka kwa ajili ya kuonana tuu au kuna kingine? Mkuu mleta uzi katupa chai ya moto sana, hamna mwanamke mjinga anayeweza kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine tena mbali hivvo kwa aajili ya kuonana tu na mwanume asifikiries kuombwa penzi, hakuna, ila amekuita kutoka Kimara uende Masaki -ni mfano tu, unaweza, lakini sio mkoa A kwenda mkoa B.
 
Back
Top Bottom