Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Ndiyo kwani haujui kuwa bongo mapenzi ni mashindano kati ya wanaume na wanawake? Maana wanaume si ndiyo mnapendaga mashindano kwenye mapenzi eti ili tu msionekane wajinga wanawake wakiwakosea kidogo tu mnataka kuwalipizia kwa kisingizio cha kwamba mkiwasamehe mtaonekana mafala kwenye jamii
Kwahiyo lazima mlipize kwa namna yoyote ile mwanaume akitendwa na mwanamke mmoja utamsikia anasema "kuanzia leo siwaamini tena wanawake wote kasoro mama yangu tu yaani nitakuwa napiga na kusepa au nazalisha na kuacha tu" sasa hayo kama siyo mashindano ni nini? Yaani kwa wanaume wengi wa bongo mapenzi ni vita