Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Daah siamini kama umenikimbia hivyo, rudi basi.[emoji3]
Pole sana arif, inaonekana hujakwiva kabisa katika medani za kibaharia. K ya masafa marefu haiombwi kama unavyoagiza soda dukani. Totoo ilishaelewa kali kuliwa ilikuwa ni Pie ila umetanguliza njaa njaa, siku nyingine fanya kama huitaki...itakutaka wewe zaidi.

Lazma utumie mbinu za kiintelijensia dingii. We unasemaje unaomba mlale pamoja, hata chalii ya class Bee aezi fanya hio mbishe.
 
Mwanamle wa ajabu,unafunga safari toka mwanza to dar to meet a total stranger halafu unaleta uzi hapa eyi ana papara...shame on you

Wanawake siku hizi wamekua cheap jamani khaaa
Unataka wawe expensive ili watuumize wapenda vitonga[emoji16][emoji16]
 
Yani wewe dada kwenye yako si ulisema uko Ghana na unaishi Ghana uko ndo makazi yako yaliko sasa imekuajebghafla umeahamia Mwanza au visa imeisha nini asee duuh kweli nimeamini JF NI konyo hasa hawa madada wa Jf yani mtu yuko kumbe mwanza alafu akanambi Mimi nitume nauli ya kumto Acra Ghana wazee mimi niliingia mitini asee ila wewe mdada nimekuupleciate wewe ni noma mno
Labda hukuelewa,Ghana Mwanza,karibu na kona ya Bwiru
 
aise, naona hata kuandika hajui halafu anajikweza hakuna mwanaume wa humu mwenye hadhi nae? demu halina shule kuandika halijui kazi kuuza K unabishana nalo la nini fanya kuipotezea mkuu.

Mademu wengi wa humu ni vichaa, malaya wamezalishwa hovyo stress zao wanakuja kumalizia kwa watu ambao wanawapa positive advices.

Narudia tena hakuna mwanamke wa humu atakataa iwapo utamtongoza na ukawa serious.
Tuanzie hapo,walishakukubalia wangapi?
 
Ngoja nipite taratibu humu.... Hivi unaanzaje kutoka Mwanza mpaka DSM? Tena kwaajili ya kufahamiana na mtu? Nimewaza kwa sauti.... Karibu DSM kwa vibamia 😂😂😂😂😂
Wiki ijayo naenda Kigali, tumefahamiana FB.....naona hujakua mkuu, au umeishayapitia na kuona kawaida!
 
Rudi mwanza, wasalimie Igoma
IMG_20190828_182432.jpeg
 
Back
Top Bottom