Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Wasukuma wanatuma aseeVipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.