Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Yaani hadi ninyi wanaume leo mnasema kwenye ngono ni 50/50? Kama ingekuwa hivyo jiulizeni ni kwanini wanaume ndiyo mnataka sana ngono kuliko wanawake?
Huu utafiti wako umetumia sample size gani kiongozi
 
Sio yaleyale,nikiwa nao halafu sijui ni heri kuliko nipime nikutwe nao

Kukutwa mgonjwa ndio chanzo cha stress na mazaga zaga mengine ya kuumwa kweli yanaanza

Mmmm

Utaanza dawa mapema

Hutaumwa magonjwa ya ajabuajabu...hutakonda
 
Yaani hadi ninyi wanaume leo mnasema kwenye ngono ni 50/50? Kama ingekuwa hivyo jiulizeni ni kwanini wanaume ndiyo mnataka sana ngono kuliko wanawake?
Hao walikuwa wanaume wa zamani,

Wanaume wasasa hawataki ngono maana wengi wao hawana nguvu za kiume kisawa sawa
 
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Atakuwa mgonjwa tu huyo
Mtu hakujui anataka kupiga kavu,uchu mwingine jamani
Pengine ndio tabia yake kuagiza mizigo kuitafuna kavu
 
Back
Top Bottom