UwiiiAhadi zangu ni za kweli ukinikubali zinatimia, nakuahidi kukupa vitu vya bei hadi shela utafanya la kushindia
πππππ ndo wew jamaa khaaya chumbani hayaletwi upenuni turudi pm tukamalizane
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1,Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2,Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3,Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh!serious!!Achana naye baby, mpotezee. Njoo PM nikunong'oneze
Kumbe wewe ni very cheap yaani elfu 30 kwa siku!! Endelea na huyo size yako anakufaa! Wengine tumezoea kutoa zaidi ya Laki kwa siku na vikombezo vingine zaidi wewe endelea na MATONYA wako huyo!Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi