Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila asanteeeView attachment 1435921
Hata hivyo we ni mzuri unafaa kabisa kupewa ulivyoahidiwa tatizo umekosa uvumilivi umekuja kumwaga huku hadharani!!
Sio siri wavutia mpaka raha😍🤗😉
Kwahiyo ww uko kimaslahi kipesa huko kimaslahi kindoaJamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo umeamua kuja kunianika hapa sio ustaarabu Ujue.!Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tuwasaidieje
PoleJamani mbona mimi nyie wadada PM hamunijibu? hao munaochati nao wananini? sijui hata nakwama wapi kwa kweli