Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

Dada mbona unatukandia wanaume wa jf si ndo sie wa mtaani au sisi tunatoka mbingu isiyofahamika..?

Nabashiri nyinyi ndo wale mliokosa Siri toka utotoni! Utasikia "Mama kenzy na nanii walikuwa wanafanya matusi"[emoji23]
Halafu kwa kukandia unaongeza "halafu kenzy akamuumiza mwenzake"[emoji1787][emoji1787]

Na still bado mnatufata hadi ukubwani[emoji28][emoji28]
Sio kuwakandia bwana kadanganywa anaona kapata tajiri wa mafuta kumbe mwenzie yupo kwenye mpango wa kumkula kimasihara
 
Dah! Unabisha wakati pale umeandika "wanaume wa jf" inabidi tuanzishe mgomo😂

Haliwi kimasihara we acha kitu kiyeye maana kwanza habanduliwi kusema atakosa milele.. unamkandia baharia mwenzetu hujui kuna msemo usimuamshe Alie lala utalala wewe! Shauli yako 😂😜
 
Dah! Unabisha wakati pale umeandika "wanaume wa jf" inabidi tuanzishe mgomo[emoji23]

Haliwi kimasihara we acha kitu kiyeye maana kwanza habanduliwi kusema atakosa milele.. unamkandia baharia mwenzetu hujui kuna msemo usimuamshe Alie lala utalala wewe! Shauli yako [emoji23][emoji12]
Wala sijawaweka kwa uwingi nimemsemea wake rudi usome vizuri
 
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Integrity, is to keep other people's secrets even after break.
Either ungekataa au ungekubali yaishie hukohuko, kama ingekuwa public angekuandikia uzi.
 
Sawa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo Moshi au wap ww?
Pole na Mchaka mchakaa aisee si tumejifungia tu tunatoka kwa kuvizia [emoji23] usisahau kujifukiza
Sijambo mimi jamani mwanakamati!
Nimekumiss ya hela yote!

Huku ni mambo sio mambo kabisaa
 
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unamashaka mpe bure
 
Upo Moshi au wap ww?
Pole na Mchaka mchakaa aisee si tumejifungia tu tunatoka kwa kuvizia [emoji23] usisahau kujifukiza
Niko Muheza jamani mwanakamati!!
Meshajifukiza mpaka mekuwa wa njano sasa!!
 
Na wewe utampa nini na nini?? Kama ni hiyo tu mbona wenzio hutoa kila siku tena bureee kabisa kodi chumba na kitanda tu. Hao wakeze wengine anawalipa ngapi kila siku??
 
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Vutelove umeona uniabishe humu?.Sio vizuri acha hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom