Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili hizi bora akuchakate na kuku dump tu

kush and Wisdom
 
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa ushahidi wa umma kwenye mahaba hii mpya ya zama za corona, mahaba mtangazo!!
 
Mbona wewe uja nikubalia kama utakua una nipa show mda wowote na sehemu yoyote ntakayo jiskia
 
Sasa ebu ngoja kwanza,,,Kwani kuna tofauti gani?kwani akikuahidi hapa kinaongezeka nini?
 
Mwanaume wa jf kwenye ubora wake [emoji1787] na wewe unakubali kudanganywa kifala hivyo mpe papuchi sasa uone rangi zote
Dada mbona unatukandia wanaume wa jf si ndo sie wa mtaani au sisi tunatoka mbingu isiyofahamika..?

Nabashiri nyinyi ndo wale mliokosa Siri toka utotoni! Utasikia "Mama kenzy na nanii walikuwa wanafanya matusi"😂
Halafu kwa kukandia unaongeza "halafu kenzy akamuumiza mwenzake"🤣🤣

Na still bado mnatufata hadi ukubwani😅😅
 
Back
Top Bottom