Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

Kupeana ushauri katika maswala ya maisha ndio mchango wangu.
 
Mimi hiyo miaka sikuwahi kupendwa kabisa zaidi nikiwafata warembo pm wananibloku daaaaah
 
Mwanaume kuomba pesa kwa namna yeyote ile ni umang'aa tu , twitter nina inbox zaidi ya 300 vijana wanaomba pesa bora humu kmamke
X wamejaa wadwanzi sana skuhiz......
Kuna mmoja alikuja akajieleza Sana kidogo niingie kingi kwamba kutoa Ni moyo ile kutoka DM nikaenda USSD ili nimtumie zikaingia DM nyingine 2 wanaomba hela dah nilighairisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…