Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

X wamejaa wadwanzi sana skuhiz......
Kuna mmoja alikuja akajieleza Sana kidogo niingie kingi kwamba kutoa Ni moyo ile kutoka DM nikaenda USSD ili nimtumie zikaingia DM nyingine 2 wanaomba hela dah nilighairisha mkuu
Ma papai hayo , nayanaomba 20 tu kummmke mimi nayatukana tu
 
Hongera sana, Mungu akubariki.
Mimi sina mchango wowote, zaidi ya maombi,kuombea watu.
Na Jf imeninufaisha kwa kunipa rizki kupitia biashara,
Imenipa watu mbalimbali ambao wamechangia sana katika utatuzi wa changamoto mbalimbali.
MUNGU awabariki sana ndugu zangu wa Jf.
 
Mlipendana au mlivuana tu? Nimekumbuka lile timbwili lako.
 
Likes kwa sisi wenye akili pembuzi, huwa Ni setup kwa wajinga
Sasa kiongozi kama hicho ndio pekee nimechangia nisingizie nimesaidia watu ilihali sio kweli?

Na hata kama kuna watu kwa namna moja ama nyingine nimewanufaisha, ndio niwaanike hapa?
 
Nilipitia uzi fulani wa kuhusu kilimo huko MPANDA maeneo ya MWESE , nikajitosa porini kupambana na shamba so from zero lakini huu ni msimu wa pili niko huko with over 200+sacks. Thanks
 
Nashukuru sana mkuu, watu wasijisifu ujinga ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…