Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
HALAFU NDIO MNASEMA NCHI TUWE NA UZALENDO SIJUI SOLIDARITY FOREVER...
Afute kauli yake kabla Yanga haijamuacha mdomo wazi
Yanga inatangaza utalii, sasa visit Tanzania ndio inafanywa na Yanga Bila kutumia nguvu.Hii Mechi ya Yanga na Mamelody imekua MAARUFU SANA
Na Kama Yanga atashinda na kuvuka ..atatengeneza jina kubwa sana ..Yanga inatangaza utalii, sasa visit Tanzania ndio inafanywa na Yanga Bila kutumia nguvu.
Haya madunduka yatakapopigwa kama ngoma na Al Ahaly ndio watajuwa walipaswa kutumia muda mwingi kufocus timu Yao itoke Vipi?