Wewe kama Mwana Yanga unalipi la kumshauri Admin wa EATV?

mtoto nazinazi huyo na hicho chombo cha habari hakuna kitu humo baada ya kuleta habari wanaleta mipasho
 
Wapongezwe kwakua wao wamejipambanua wapo mlengo gani, kuliko kuwa mnafiq wao wamejiweka wazi.
Nashauri wapongezwe baada ya kushutumiwa.
 
Wenye akili tumechagua kumdharau/kuwadharau. Maana inavyo onekana hiyo media inataka na yenye ionekane bado ipo, na hasa baada ya kupotea kwenye tasnia ya habari za michezo, nk.
 
Hii post hata mimi imenishangaza!
huwa anaandika sana ujinga ila huo umezidi.
YANGA sijui tumewakosea nini watu.
 
Hii Mechi ya Yanga na Mamelody imekua MAARUFU SANA
Yanga inatangaza utalii, sasa visit Tanzania ndio inafanywa na Yanga Bila kutumia nguvu.

Haya madunduka yatakapopigwa kama ngoma na Al Ahaly ndio watajuwa walipaswa kutumia muda mwingi kufocus timu Yao itoke Vipi?
 
Na Kama Yanga atashinda na kuvuka ..atatengeneza jina kubwa sana ..

Napata hofu na ukimya wao..nahisi wanajipanga kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…