Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

ukiona umenenpa mwili sana jua unaharibika, lazima horones zitazidi na mwishowe chemchem. pia kipimo siyo chupi tu hata kitandani pia. ukiona umelowanisah basi ujue wewe chemchem

teh teh teh. najiunga jimu kesho nisije nenepa.
 

Mkuu kama siasa ni dili kwako kajikite tuu jukwaa la siasa. Kunakufaa zaidi kule.
Ndio maana nchi imekwisha kwa sababu watu kama nyie mnadhani siasa ni kila kitu kwenye maisha.
Issue kidogo tuu mnaifanya ni ya kisiasa.
Halafu umejuaje mie mtoto wa kiume?
Huoni kama tayari unanijadili kisiasa?
 
orgasm siyo lazima penetration iwepo, na for yor information most women do reach orgasm by deep fore play

gfsonwin this is your area...unaitendea haki...baelezee!
 
Last edited by a moderator:

EMT huyo atawaharibia siku!...kuna watu humu wanajidai wako serious sana...wanafikiria wako pale kwake anaongoza mke na watoto wake...bure kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Mwali and EMT

Lets go fishing somewhere quite with home made wine.

Tutatatua matatizo ya biashara yetu kwa utulivu.


acha kunifanyia roho mbaya wajameni. uoni somo analotoa EMT hapo? aende wapi tena?
 
Reactions: EMT
EMT

Mambo
achana naye, asikutie shombo ya feri.

Mie huwa nawaona wanajifanya 'virgins in a maternity ward'

 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Mi huwa najijua kabisa kuwa kuna seasons nakuwa mbovu sana kwenye hii sanaa, hasa ninapokuwa bise sana na majukumu. Katika hizi season, sithubutu hata kutongoza, maana hata bibi kizee ataning'ong'a. But kuna seasons (ninapokuwa loose na kuwa na mda wa kuattend jim), nakuwa fit in such a way dem mmoja hanitoshelezi kwa siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…