Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona mwanaume jasiri wa kuelezea jinsi alivyo na elements za kike kama wewe. (sorry to say this). Hapa unanitaka nilinganishe mapenzi na siasa?
Kweli unataka kuniambia tukiwa na akili zetu timamu tuamini kuwa SEX is the most determinant factor to our betterment as individuals so as the nation! Mimi nafikiri ni siasa ndio inadetermine mambo yote ndani ya nchi.
Lakini acha niheshimu maadhimio yako, endeleeni kuzungumzia sehemu zenu za siri na namna mnavyosalitiana huku ukipongezana na hawa wanawake manungayembe wanaojiweka biiiize siku nzima kuzungumzia sex ilimradi tu wapate watu wa kuwatongoza. Ila nikusihi kuwa, kama mwanaume, siasa ya nchi haikwepeki na kuikwepa ni kukwepa maisha yenyewe.
"Love is the whole history of a woman's life, it is but an episode in a man's. "
Madame de Stael
Mtoto wa kiume anayeshabikia mazungumzo ya ngono tuuu mchana kutwa ni dalili za kusumbuliwa na balehe, hamna lingine. Na wa kike ni uhuni tu wa kutafuta watu wa kumtongoza. Matured men have a lot to do more than talking about their penis and how someone got hurt after been cheated by her girl lover.
Excrement of the clan!
Mkuu kama siasa ni dili kwako kajikite tuu jukwaa la siasa. Kunakufaa zaidi kule.
Ndio maana nchi imekwisha kwa sababu watu kama nyie mnadhani siasa ni kila kitu kwenye maisha.
Issue kidogo tuu mnaifanya ni ya kisiasa.
Halafu umejuaje mie mtoto wa kiume?
Huoni kama tayari unanijadili kisiasa?
Nyani Ngabu so good to see ya' plz come back!
Mkuu kama siasa ni dili kwako kajikite tuu jukwaa la siasa. Kunakufaa zaidi kule.
Ndio maana nchi imekwisha kwa sababu watu kama nyie mnadhani siasa ni kila kitu kwenye maisha.
Issue kidogo tuu mnaifanya ni ya kisiasa.
Halafu umejuaje mie mtoto wa kiume?
Huoni kama tayari unanijadili kisiasa?
Nyani Ngabu mkuu nimefurahi kukuona good to have you back.Thanks and good to see you too!
acha kunifanyia roho mbaya wajameni. uoni somo analotoa EMT hapo? aende wapi tena?