Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Hahahahaa Biny? Hata title ya Uzi hujaona?
Mie nimekutana na notification ya kutajwa tu mie nishapigwa tukio jamiiforum hata siamini mtu ndo maana sipo kama zamani hawa wanaokuja na id mtu huijui unawaza kuwa ni mgeni kumbe shushushu mafala sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…