Wewe mpenda Soka la Tanzania, jifunze kitu hapa ili usiyumbishwe

Kwann usipeleke katk gazeti la dimba uwez kosa alfu tatu
 
Una miaka mingapi mkuu?kipindi Simba inawapiga mabingwa watetezi wa CL Zamalek ya Misri katika ardhi ya Misri ulikuwa pori gani? Sio hao wanaoshiriki kombe la failure
Mliwafunga hao Zamaleki magoli mangapi? Mimi naongelea kuwatoa hao Waarabu kwa kuwafunga kwenye ardhi yao! Nipe majibu sahihi hapa. Mliwafunga goli ngapi pale Misri?

Maana kama ni ushindi wa kubahatisha wa penati, basi hata Yanga miaka michache iliyopita angeweza kumtoa Al Ahly kwenye ardhi yake kupitia hiyo hiyo mikwaju ya penati. Ni bahati mbaya tu Said Bahanuzi alikosa penati ya mwisho.
 
Alifungwa kwao bao 2 kwa 1,na akavuliwa ubingwa kwao misri,kama misri sio uarabuni basi
 
Umeweka vitu vingi vya uongo na havijawahi kutokea. Mfano mdogo kuandika Simba ana vikombe 9 vya muungano na vikombe 5 vya tusker. Yanga ndio miamba wa muungano na Tusker, achana na ivyo vya Nyerere cup na Hedex ivyo havina idadi.
Sahihisha na uweke takwimu sahihi
 
Mbna hizi takwimu ni za uongo.

Kuna makombe hapo umemuwekea yanga 0 Ila anayo zaidi ya moja.

Kweli maivu kwa makolo ni makali sana wanatafuta kila namna kujifariji
Weka zilizo sahihi nakungoja hapa
 
Umesahau rekodi moja mkuu, ule mwaka Simba alikuwa anaenda kula mvua za kutosha na pengine kuvunjwa hizo rekodi za 5-0 akakimbia uwanjani. Wameendq mapumziko washakula 3 na wameelewa vibaya Sana hawakurudi ng'ooo
 
Umesahau rekodi moja mkuu, ule mwaka Simba alikuwa anaenda kula mvua za kutosha na pengine kuvunjwa hizo rekodi za 5-0 akakimbia uwanjani. Wameendq mapumziko washakula 3 na wameelewa vibaya Sana hawakurudi ng'ooo
Weka wewe hiyo
 
Rekodi zako zina mashaka Kaka, inamaana YANGA Hana kombe lolote la Asfc? Bingwa wa mwaka Jana alikuwa ni Nani?
Soma vizuri?hiyo list ilikuwa ni ya mwaka jana kabla ya fainali ya azam cup
 
Soma vizuri?hiyo list ilikuwa ni ya mwaka jana kabla ya fainali ya azam cup
Vizuri na ndo nilikuwa nataka uje hapo, hv unajua kabla ya kuitwa ASFC lilikuwa inaitwaje Hilo kombe, na unajua Simba na Yanga washachukua mara ngapi kabla halijabadilishwa jina na kuitwa ASFC?? Mbona sijaona kwenye list yako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…