Outcrop Rock
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 275
- 398
Hv unajua kwamba Hilo kombe lilivyobadilishwa jina mwaka 2015/16 team ya Kwanza kuchukua ni Young Africans tena waliifunga Azam FC bao 3-1 pale Kwa mkapa..??Soma vizuri?hiyo list ilikuwa ni ya mwaka jana kabla ya fainali ya azam cup
Ndomana nikasema takwimu zako zina mashaka maana hata kabla ya mwaka Jana Young Africans kuwa bingwa still alishashinda Hilo taji mwaka 15/16
Na kabla halijaitwa ASFC lilikuwa linaitwa kombe la FA na Simba na Yanga walishabeba mara nyingi tu Ila zote kwenye list yako hazipo so pengine Simba ana makombe zaidi ya hayo 58 uliyosema, that's why nikaomba mchanganuo nijue..
NB
Tunavyoweka takwimu inabidi tuzifanyie uchunguzi kabla hatujazipandisha jukwaani tuache ushabiki maandazi[emoji106][emoji106]