Wewe mpenda Soka la Tanzania, jifunze kitu hapa ili usiyumbishwe

Soma vizuri?hiyo list ilikuwa ni ya mwaka jana kabla ya fainali ya azam cup
Hv unajua kwamba Hilo kombe lilivyobadilishwa jina mwaka 2015/16 team ya Kwanza kuchukua ni Young Africans tena waliifunga Azam FC bao 3-1 pale Kwa mkapa..??

Ndomana nikasema takwimu zako zina mashaka maana hata kabla ya mwaka Jana Young Africans kuwa bingwa still alishashinda Hilo taji mwaka 15/16

Na kabla halijaitwa ASFC lilikuwa linaitwa kombe la FA na Simba na Yanga walishabeba mara nyingi tu Ila zote kwenye list yako hazipo so pengine Simba ana makombe zaidi ya hayo 58 uliyosema, that's why nikaomba mchanganuo nijue..

NB
Tunavyoweka takwimu inabidi tuzifanyie uchunguzi kabla hatujazipandisha jukwaani tuache ushabiki maandazi[emoji106][emoji106]
 
Una miaka mingapi mkuu?kipindi Simba inawapiga mabingwa watetezi wa CL Zamalek ya Misri katika ardhi ya Misri ulikuwa pori gani? Sio hao wanaoshiriki kombe la failure
Tutajie dakika na mfungaji /wafungaji.
 
Kuna rekodi ya kwanza umesahau kuiweka nayo ni timu ya wanaume ya Simba wakati huo inaanzishwa iliitwa kwa jina la QUEENS!
 
Nikuongezee hii,
Mwaka 1991 Simba ilikuwa klabu ya Kwanza Duniani kucheza Mechi ya mashindano kipindi kimoja (dk 45) na kugoma kurejea uwanjani kipindi cha pili wakiwa wamefungwa goli 4-0. Haijulikani wangerudi wangefungwa goli ngapi zaidi.
Sasa usidanganye. Historia tunayo. Kama unafanya reference kwa mechi ya Simba na Yanga na Simba wakasusa kuingia uwanjani kipindi cha pili ni kuwa kipindi cha kwanza matokeo yalikuwa 0-0. Hiyo mechi iliyosusiwa matokeo yakiwa 0-4 ni ipi? Kama haipo utubu mara moja. JF wako makini na historia hawajasahau.
 
Nikuongezee hii,
Mwaka 1991 Simba ilikuwa klabu ya Kwanza Duniani kucheza Mechi ya mashindano kipindi kimoja (dk 45) na kugoma kurejea uwanjani kipindi cha pili wakiwa wamefungwa goli 4-0. Haijulikani wangerudi wangefungwa goli ngapi zaidi.
Huu ni upotoshaji mkubwa Umefanya.!
Hiyo game ilikuwa mashindano ya kombe la Muungano ambapo refa alikuwa Hafidh Ally kutoka Zanzibar.

Kipindi cha kwanza ilikuwa sare ya bila kufungana Yanga 0-0 Simba ambapo Refa Hafidh Ally aliwaambia golikipa Mohamed Mwameja kuwa hii game hatatoa Kadi Nyekundu wala Njano isipokuwa Simba lazima atafungwa na Yanga.

Wakati wa mapumziko Mwameja akamwambia M/Kiti wakati huo Juma Salum kwa sasa (marehemu). Ndiyo Uongozi ukatathimini wakaona kuwa huyu refa amekula hela, wakaamua timu kutorudi kipindi cha pili uwanjani.

...Wakati huo M/Kiti Juma Salumu
...M/Kiti wa matawi mkoa wa Dar es salaam Hassan Dalali.
...Katibu Mwenezi Kassim Dewji.

Kama kweli Wewe ni Kidume kwenye hili jambo usizime data..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…